MOTOWN ENTERTAINMENT ni kampuni inayojishughulisha na maswala ya burudani kwa kusimamia wasanii, kutengeneza filamu, kutengeneza mziki pamoja na maswala yote ya burudani.
Kwa sasa tupo njiani kwa ajili ya kuachia kazi mbalimbali na ya kwanza ni kutengeneza filamu mwezi wa kwanza.
SOON TUTAKUFAHAMISHA.